Deuteronomy 15:7-8

7 aIkiwa kuna mtu maskini miongoni mwa ndugu zenu, katika mji wowote wa hiyo nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msiwe na moyo mgumu wala usimfumbie mkono ndugu yako aliye maskini. 8 bAfadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.
Copyright information for SwhNEN